Chakutumaini sina Ila damu yake Bwana, Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha; Kwake Yesu nasimma, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama. Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu; Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga. Damu yake na sadaka Nategemea daima, Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha. Nikiitwa hukumuni, Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake.Let our faith become a mountain Príď, Duchu Svätý Ey Zoʻravon În fiecare dimineata Posielam vás Таазим кылабыз Ыйса алдыңда Юпатинг Мени Раббим لا تخف Без Тебе я У креста Христова мир течет рекой
Song not available - connect to internet to try again?