Ni siku kuu siku ile Ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele, Kunyamaza hauwezi. Siku kuu! Siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu! Hukesha na kuomba tu, Ananiongoza miguu. Siku kuu! siku kuu! Ya kuoshwa dhambi zangu kuu. Tumekwisha kupatana Mimi wake, yeye wangu, Na sasa nitamwandama, Nikiri neno la Mungu. Moyo tulia kwa Bwana Kiini cha raha yako, Huna njia mbili tena; Yesu ndiye njia yako. Nadhiri yangu ya mbele Nitaiweka daima, Hata ije siku ile, Ya kuonana kwa salamaNebojte sa, nedeste sa Tí, čo sú smädní هوذا قد صار ليل bk rby ạ̉rtạḥ mwsyqy̱ Venez louer le Seigneur Alléluia! louez l'Eternel! هوذا قد صار ليل أسجد عند قدميك Мартаж чадахгүй
Song not available - connect to internet to try again?