Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe; Katika safari yangu, tatembea na wewe; Pamoja na wewe, pamoja na wewe, katika safari yangu, tatembea na wewe. Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe, na yanikute mashaka, sawa sawa na wewe. Pamoja na wewe, pamoja na wewe, heri nikute mashaka sawasawa na wewe. Niongoze safarini, mbele unichukue, mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe. Pamoja na wewe, pamoja na wewe, mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe.Nyní poslouchejte ᠬᠠᠭᠠᠨ ᠰᠠᠭᠤᠳᠠᠯ ᠳᠤ ᠵᠠᠯᠠᠷᠠᠭᠴᠢ ᠡᠵᠡᠨ قلبى ولحمى ạ̉wạny mn kẖzf Целую ночь лил дождь Джанъм Кьоле Пазарънда Dein Feuer mich verzehrt Hangi habere güvenirsin lljbạl ạ̉nạ hạrfʿ ʿyny Воздайте хвалу Владыке владык
Song not available - connect to internet to try again?