Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! wa maisha ya daima, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. Tazama, ishi sasa! Kumtazama Yesu, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. Ni ujumbe wa wema, Aleluya! Nawe shika, rafiki yangu! Ni habari ya raha Aleluya! Mwenye kuinena ni Mungu. Uzima wa daima,Aleluya ! Kwake Yesu utauona. ukimtazama tu, Aleluya! Wokovu u pweke kwa Bwana.Mym pragnieniem Кедерими Данса Чевирдин Мама ạnạ ạlrjạʾ 我们曾经相约 Биё Когда неправды бремя يا حبيباً مات عني Tebranmas wmhmạ tkwny ḥṣynẗ
Song not available - connect to internet to try again?