Anipenda ni kweli; Mungu anena hili; Sisi wake watoto; kutulinda si zito. Yesu anipenda, Yesu anipenda, Kweli anipenda, Mungu amesema. Kwa kupenda akafa Niokoke na kufa; Atazidi taka, Sana ataniweka. Anipenda kabisa; Niuguapo sasa Anitunza Mbinguni Niliyelala chini. Kunipenda haachi, Tu sote hapa chini Baada ya mashaka Kwake tanipeleka.Гомо сапиенс Pukuni hohtava Se manchi tu О, зная едно чудно Име Spirito soffia in me Оставить землю Тактыңа жетсин даңктообуз биздин Բարի Հովիվ է Տերը Իմ رنموا للرب باركوا ميدلي
Song not available - connect to internet to try again?