Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Ni 'Atakaye', ni 'atakaye', Pwani hata bara, na litangae; Ni Baba Mpenzi alinganaye Atakaye na aje. Anijiliaye, Yesu asema, Asikawe, aje hima mapema; Ndimi njia, kweli, ndimi uzima; Atakaye na aje! Atakaye aje, ndivyo ahadi; Atakaye hiyo, haitarudi! Atakaye lake, ni la abadi! Atakaye na aje.Уж близок близок час рассвета Czy znasz to imię Kayamız Tanrı'ya Yücelik Verin! 神必与你同在 Aty an-tranonao izao Qudaı seni jaratty L'Eternel seul est ma lumière bnʿyr ạ̹blys wjnwdh Grazie Никто, кроме Христа
Song not available - connect to internet to try again?