Ati twonane mtoni? Maji mazuri ya Mbingu; Yanatokea mwangani, Penye kiti cha Mungu. Naam, twonane mtoni! Watakatifu, kwenu ni mtoni! Tutakutanika mtoni Penye kiti cha Mungu. Tukitembea mtoni Na Yesu mchunga wetu Daima tu ibadani Usoni pake kwetu. Kwang'ara sana mtoni Cha Mwokozi ni kioo, Milele hatuachani, Tumsifu kwa nyimbo. Si mbali sana mtoni, Karibu tutawasili, Mara huwa furahani Na amani ya kweli.Múdrosť a sila Կյանք Տվողը Տերն է أغلى الأحباب Рождество Мамо ти молись Слава Тебе Великий Бог Славьте народы Иисуса Христа! يسوع ما أعظمك Armon päivä Salme 54
Song not available - connect to internet to try again?