Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Kila tukiamka tunakuabudu Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi, Ewe Utatu, tunakusifu. Baba, Mwana, Roho, wakuaminio Wanakutolea shukrani zao Wanakusujudia malaika nao: Wewe u mwanzo, nawe u mwisho. Baba, Mwana, Roho, sisi tu gizani, Utukufu wako hatuoni kosa; U Mtakatifu, nawe u mapenzi, U peke yako, mwenzio huna. Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Ulivyoviumba vyote vyakusifu: Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi Ewe Utatu, tunakusifu.Время настало God My Rock Hay vida, hay vida en Jesús Thagau Thiengtho! Egli è degno بىز ئۈچۈن ئۆلگەن ئەيسا Chi ci separerà ЬОвгюню Йюкселт Месих'е Ukrzyżowali mego Pana
Song not available - connect to internet to try again?