Bwana wa mabwana, Mwenye nguvu sana Twakusihi: Neno la milele Na liende mbele, Waongoke tele Kwa Mwokozi. Tunaowaona Wanavyopatana, Kulipinga, Hawataliweza Neno, kulitweza: Huwaje! Kucheza: Na upanga? Heri wajitunze Ili wapatane, Na Mwokozi; Watafute sana, Wapate kuona, Yesu kuwa Bwana, Mkombozi. Mungu awaita Wasije kukuta Pigo lake; Hakuona vyema Wakose uzima, Awape rehema, Waokoke. Mwenye utukufu Tunamshukuru Yeye pweke! Nasifiwe sana, Baba, naye Mwana, Na wa tatu tena Roho yake.اسماندىن ەشئگىن اچ Həyatımın mənası tək Allahımdır مش راح تخلص الأغاني Wszystko Tobie dziś oddaję AMAH NIH KA SUALNAK A KALPI Господи я склоняюсь пред Тобою сердцем раненным, больным. స్తుతియించెద నీ నామం దేవా Sakaiza, raha tia Kudengar BerkatMu Turun Viem, že môj Pán
Song not available - connect to internet to try again?