Chakutumaini sina Ila damu yake Bwana, Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha; Kwake Yesu nasimma, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama. Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu; Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga. Damu yake na sadaka Nategemea daima, Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha. Nikiitwa hukumuni, Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake.dh hw ḥbyby ạbạrkk fy ḥyạty sẖwq qlby يا إلهي أعمق الحب هواك Гелдин дюняя أنا عايزك يا ابني tʿlyq 3 مش هارضى بضعفي 宣教的隊伍要從這裡出發 Na Tvoj obraz
Song not available - connect to internet to try again?