Deni yangu ya dhambi, Yesu amelipa. Kwake msalabani Nilipewa uzima. Deni ya dhambi, Msalabani, Ilimalizikia, Ni huru kabisa. Bwana Yesu asema, 'Mwanangu dhaifu, Uwezo wa ushindi Hupatikana kwangu.' Bwana, kweli naona, Nguvu zako pekee Huondoa ukoma, Niwe kipya kiumbe. Sina wema moyoni, Nidai neema, Nakubali kabisa, Kwa damu kusafiwa. Hata huko Mbinguni Miguuni pake, 'Yesu alinifia,' Nitaimba milele.ạlạ̉bwạb mftwḥẗ Кимдир сен учун ly ạsẖtyạq Ето ме, мен изпрати Знаю, Ты найдёшь Taube هل قد ذبحت سەنىڭ ساياڭدا INONA RE NO MAHAVONJY مْن بْهیستْیَه مْن هَز دْكي
Song not available - connect to internet to try again?