Dhambi ikikulemea, Kwa Bwana rehema; Hivi sasa tegemea Neno la salama. Tegemea, tegemea, akwita sasa. Ni Mwokozi, ni Mwokozi; amini sasa. Yesu amemwaga damu Ya nyingi baraka; Nawe sasa oga mumu Zioshwamo taka. Ni njia yeye hakika Hwongoza rahani; Usikawe kumshika, Uwe barakani. Karibu nawe wingie Mwetu safarini, Twende tukamwamkie, Milele Mbinguni.Аллелуя, Адонай Haykır yüreğim Һаятим пәқәт Сәндә! Vyvýšený Դեպ Քեզ Ենք Գալիս عالي لفوق rwʿẗ ḥbk اية هي حقيقة ايمانك Ya Ƙanƙanuwar Baitalahmi, Can Ƙasar Yahuda كەلگىن، مۇقەددەس روھ كەلگىن
Song not available - connect to internet to try again?