Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. Ndiwe mwanga, umulike Tupate jikana; Mengi kwetu yapunguka, Tujalize, Bwana. Ndiwe Moto, teketeza Taka zetu zote: Moyo na iwe sadaka Ya Mwokozi, yote. Ndiwe Umande, na kwako Tutaburudika, Nchi kavu itakuwa Ni yenye Baraka. Roho wa Mbinguni uwe Nasi hapa chini, Mwili uufananishe Na kichwa Mbinguni.Полнота ḥqyqy dy kạnt lḥẓẗ يسوع أنت تعلم Эзэний өмнө bạʿtrf Šla svetom láska nebeská سيدي لك محبتي Ğussə pure çımı ım dıl mạtʿwlsẖ ạlhm Вот собрались мы опять
Song not available - connect to internet to try again?