Hata ndimi elfu elfu, Hazitoshi kweli Bwana Yesu kumsifu, Kwa zake fadhili. Yesu, jina liwezalo Kufukuza hofu; Lanifurahisha hilo, Lanipa wokovu. Jina hilo ni uzima; Ni afya amani; Laleta habari njema; Twalipiwa deni. Yesu huvunja mapingu Ya dhambi moyoni; Msamaha, tena nguvu, Twapata rohoni. Kwa sauti yake vile Wafu hufufuka Wakafurahi milele, Pasipo mashaka. Ewe Yesu wangu Bwana, Uwezo nipewe, Kuhubiri kote sana, Wote wakujue. Hallelujah kwa Bwana Alikufa kalvari Halle Halle Hallelujah Hallelujah Amenعلى صليب علق ạ̹nt ạlḥyạẗ ḥwạlyn ạlmzwd كذبوا НОВА ПЕСЕН 我能做什么 Ježišovi svoj život daj ạlywm ạ̉ty̱ yswʿy قد اشتهيت Радуйтесь и ликуйте
Song not available - connect to internet to try again?