Huyo ndiye! Anashuka Huyo ndiye! anaskuka, Aliyetufilia, Wengi waliookoka, Wakimfurahia, Aleluya! Yesu aturudia. Sote tutamtazama, Amekaa kitini, Nao waliomcoma, Kumkaza mtini, Na kilio, wamuone enzini. Alama za kifo chake Hata sasa anazo Na waaminifu wake Wapendezewa nazo. Alipata, Kwetu alama hizo. Wokovu utakiwao Sasa wapatikana, Na watakatifu hao Mbinguni wakutana Kumlaki, Ndiyo siku ya Bwana Wakusujudie wote Mbele ya kiti chako. Zako, Bwana, nguvu zote Itwae milki yako Njoo Bwana, Sisi tu watu wako.عیسی، عیسی قشة Trabajad, trabajad, somos siervos الساكن في ستر ربي Kalvari Tang ҜӘЛ-ҜӘЛ Offre pour sacrifice à Dieu Бени Севдин Раб Түн болып, бар әлем тыным тапқанда knt ạ̉syraⁿạ
Song not available - connect to internet to try again?