Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma, Vimeshindwa na uzima, Na asifiwe daima, Bwana Yesu. Nguvu za kifo ni hizo, Ila hazina uwezo, Ndizo sasa avunjazo, Bwana Yesu. Siku tatu za huzuni, Kisha atoka ufuni, Asifiwe duniani, Bwana Yesu. Mapingu ameyavunja, Mbingu amezifungua, Nasi sasa twamwimbia, Bwana Yesu. Na ulivyopigwa wewe, Ni kwamba tufunguliwe, Milele na usifiwe, Bwana Yesu.اعا تاازئم قىلالى qlbk klh ḥnạn Rozprávka o rytierovi مېھرىبان خۇدا لو يوم أحس إنك بعيد Soqyr bolyp kóre almaý جاء الملاك Yesu Ɗan Allah Ne, Mai Ceton Duniya Әрдайым қуаныңдар I can hear my Savior calling
Song not available - connect to internet to try again?