Jina la Yesu, Salamu! Lisujudieni, Ninyi Mbinguni, hukumu Na enzi mpeni. Enzi na apewe kwetu, Watetea dini; Mkuzeni Bwana wenu, Na enzi mpeni. Enyi mbegu ya rehema, Nanyi msifuni; Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni. Wenye dhambi kumbukeni Ya msalabani, Kwa furaha msifuni, Na enzi mpeni. Kila mtu duniani Msujudieni, Kote-kote msifuni, Na enzi mpeni. Sisi na wao pamoja Tu mumo sifani, Milele sifa ni moja, Ni 'Enzi mpeni.'ạ̉nạ jyt ʿlsẖạnk ạ̹nt В какой завет вступал Христос, Ыйса берип жүрөгүмө дем Муборак аст Худованд قدوس قدوس İsa Kıyam Etti Ölülerden ياغربة الأيام Здесь жизнь моя есть песнь хвалы عوض عن أيام الماضي 예수 이름이 온 땅에
Song not available - connect to internet to try again?