Kaa nami, ni usiku tena; Usiniache gizani, Bwana; Msaada wako haukomi; Nili peke yangu, kaa nami. Siku zetu hazikawi kwisha, Sioni la kunifurahisha; Hakuna ambacho hakikomi, Usiye na mwisho kaa nami. Nina haja nawe kila saa; Sina mwingine wa kunifaa; Mimi nitaongozwa na nani Ila wewe? Bwana, kaa name. Sichi neno uwapo karibu; Nipatalo lote, si taabu; Kifo na kaburi haviumi; Nitashinda kwako, kaa nami. Nilalapo nikuone wewe, Gizani mote nimulikiwe; Nuru za mbinguni hazikomi, Siku zangu zote kaa nami.ạ̉wl sw̉ạl حبيبي ايا من أجلي Любовь неотступна Ъйидир Овмек Помяни меня, Господи Ya Allah, Kai Mai Girma Ne Minut, Jeesus, säilytä Как солнце едино над нами Пастырь моей души Čo ja ti dám
Song not available - connect to internet to try again?