Kilima kando ya mji Alikufa Bwana; Kuokoa wakosaji Akateswa sana. Kabisa hayasemeki, Mateso dhaifu Alikufa mwenye Haki Tupate wokovu. Alimwaga damu yake Ili tuwe wema, Tufae kukaa kwake Mbinguni daima. Hatuna mwenye imani Aliye na haki, Wa kutosha yetu deni, Rafiki Yesu tu. Alijua peke yake Kufungu Mbingu Ufunguo damu yake Kondoo wa Mungu. Aliyetupenda hivyo Nasi tumpende, Tukamtumai vivyo Na kazi tutende.Rab Sen Layıksın Albarkacin Allah 'Na Zuwa Раб'бин Ордусу Оед оед Вечность святых видится мне xuān jiào de duì wǔ yào cóng zhè lǐ chū fā ạnt mstḥq ạyhạ ạlrb أنا عايزك انت Чудный прекрасный брачный день fy ạlkẖwf ạ̹nt slạmy
Song not available - connect to internet to try again?