Kivulini mwa Yesu kuna Kituo: Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu. Kivulini mwa Yesu kuna kituo; kivulini mwa Yesu kuna kituo; Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu. Kivulini mwa Yesu nina amani Iliyopita fahamu, tena itakayodumu. Kivulini mwa Yesu, nina furaha; Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.Давут'ун Дуасъ (Топлулуу Уярланмъш) Осмонга مسبحة الرحمة الإلهية Иса - превозносим (Рус/Каз/Уйг) Һаятлиқ бар Силён спасти كما أنا وليس لي عذر Where There Is Faith Қандай тамаша Әке үйінде พระวิหารของพระเจ้า
Song not available - connect to internet to try again?