Muda mwingi nilipotea, Sikufahamu msalaba, Wala aliyenifilia, Kwa Kalvari. Rehema bure na neema, Samaha nalo nilipewa, Ndipo aliponifungua Kwa Kalvari. Kwa neno lake Bwana Mungu, Nilijiona mimi mwovu, Nikageuka na kutubu, Kwa Kalvari. Yote kwa Yesu namtolea, Ndiye mfalme wa pekee sasa, Kwa furaha nitamwimbia, Wa Kalvari. Jinsi pendo lilivyo kuu, Neema ilishuswa toka juu, Alitufanyia wokovu Kwa Kalvari.Pobudź Panie mnie Дивно створив Раб'би Беклерим Ubangijinmu Ya Raka Ka Сарнай цэцгэнд Bellas Mansiones Kelgeısiń, kelgeısiń Имануил His name Gʻalaba qildim
Song not available - connect to internet to try again?