Kwa wingi wa nyama, Na sadaka pia, Hupata wapi salama, Kwondoa hatia? Sadaka ni Yesu, Hwondoa makosa; Dhabihu mwenye jina kuu, Atanitakasa. Kwa yangu imani, Nikuweke sasa Mkono mwako kichwani Kukiri makosa. Roho yakumbuka Mambo ya mtini, Mzigo ulijitweka, Ndiyo yangu deni. Deni hutanguka, Tukimuamini; Kwa damu tumeokoka, Twimbe furahani.wǒ yǒu yī gè xīn yuàn Preghiera Doimo men ishonaman Слава на Исуса Eres Santo أدخلني روح الميلاد Эзэн намайг уучилсан ياما في بعدي لي أب بي يعتني Buatlah Hatiku Lapang Dan Bersih
Song not available - connect to internet to try again?