Maelfu na maelfu Wenye nguo bora! Masafu ya waongofu Wenye na bendera! Amekwisha kamili Vita vya shetani Fungueni lango hili; Njoni, ingieni! Imbeni aleluya, Zipae Mbinguni! Pigeni sana sauti Kwa kutumaini! Kwa hiyo viliumbwa Nchi hata Mbingu Dhiki za muda zikisha, Asifiwe Yesu. Loo! Tukionana Pwani ya ng'amboni! Loo! Tukishirikiana Milele Mbinguni! Midomo yote pia, Huko itaimba Wajane kufufukiwa Na kila yatima! Himiza enzi yako, Uliyetufia Utimize watu wako, Wakosaji pia, Mpendwa wa taifa twakutumaini! Uzifunue ishara Urudi enzini!当你踏上宣教的路 tʿạla yạ yswʿ ชัยชนะเป็นของเรา The victory is mine nny̱ ʿyn Если твой дух утомится Salvation is Here Я шла по улице How Great Is Your Love قلبي إتعلق بيك Belam No Munsiem
Song not available - connect to internet to try again?