Mapya ni mapenzi hayo, Asubuhi tunayo, Saa za giza hulindwa Kwa uzima kuamshwa. Kila siku, Mapya pia Rehema, wema, na afya, Wokofu, na msamaha, Mawazo mema, furaha. Tukijitahidi leo Na mwendo utupasao, Mungu atatueleza Yatakayompendeza. Mambo yetu ya dunia Mungu atayang'aria, Matata atageuza Yawe kwetu ya Baraka. Yaliyo madogo, haya Mungu tukimfanyia, Yatosha: tutafaidi Huvuta kwake zaidi. Ewe Bwana, siku zote, Tusaidie kwa yote: Mwendo wetu wote vivyo, Uwe kama tuombavyo.Júr, Ybyraıym, daıyndal jolǵa يا مالك القلب وحدك Stand and Die Adonaj, Te vagy pásztorom Кожен день з Iсусом Билмайин босдим тиканни Трепет ʿndmạ trfʿ ydạk از تو پر شوم hwdẖạ̉ qd ṣạr lyl
Song not available - connect to internet to try again?