1. Mbele ninaendelea ninazidi, kutembea maombi uyasikie, Ee Bwana unipandishe. Ee Bwana uniinue, Kwa imani nisimame, Nipande milima yote, Ee Bwana unipandishe. 2. Sina tamani nikae, mahali, pa shaka kamwe, Hapo wengi wanakaa, kuendelea naomba 3. Nisikae duniani, ni mahali pa shetani, Natazamia mbinguni, aitafika kwa imani 4. Nataka nipandishwe, juu zaidi yale mawingu, Nitaomba nifikishe, Ee Bwana unipandishe.Ada Seorang Gembala Lo unico que quiero أنت إله الخلاص Wznieśmy swe ręce shén yǐ jīng lì tā fy wsṭ ʿtmẗ lyly قف يا جندي جانب الصليب A vanas efigies నింగిలోని చందురుడా ạ̹lqạʾ 9
Song not available - connect to internet to try again?