Mle kaburini, Yesu Mwokozi! Alilazwa chini, Bwana wangu! Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa! Gizani mle alitoka chini, Sasa atawala huko Mbinguni! Yu hai! Yu hai! Bwana Yesu yu hai! Aungoja huo, Yesu Mwokozi! Mchana ujao, Bwana wangu! Walinda kaburi, Yesu Mwokozi! Bure ni muhuri, Bwana wangu! Kifo kimeshindwa, Yesu mwokozi! Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!LET GOD JOIN THEM TOGETHER FOR YOU AND FOR ME wǒ men yào chēng xiè Lift Him Up Až potiaľ pomáha Hospodin bremeno niesť جالعىز سەن ىيىق mwsyqy̱ Ry hava-malala misaona Боже Сердце успокой Baruch haba
Song not available - connect to internet to try again?