Mmoja apita wote, Atupenda; Zaidi ya ndugu wote, Atupenda; Rafiki wa duniani, Wote hatuwaamini; Yesu kwa kila zamani, Atupenda. Kumjua ni uzima, Atupenda; Jinsi ajaavyo wema Atupenda; Yeye ametununua Kwa damu aliyomwaga, Dhambini kutuokoa, Atupenda. Sasa tunaye rafiki, Atupenda; Hupenda kutubariki; Atupenda; Twapenda kumsikia, Atwita kukaribia, Nasi tutamwamania, Atupenda. Husamehe Dhambi zetu, Atupenda; Hushinda adui zetu, Atupenda; Anatwonea huruma, Hatupati ila mema, Anatwongoza salama, Atupenda.tạ̉ml 3 أعطني إيماناً йъка бени Иса nwr ạlmdẖwd - lạ thtmwạ llgẖd ยกย่องพระคำ Klaniam sa ti vrúcne I offer my life ВЪЗВЪРНИ МЕ ạ̉nt ʿẓym Sözündeki Kişiyim
Song not available - connect to internet to try again?