Msalaba wa aibu, Ulinipa amani; Uliniondoa kifungoni, Nilimotesekea. Ee, Mwokozi wangu, Yesu Nitamwendea nani? Najiweka msalabani, Nikaoshwe damuni. Nakupenda Bwana Yesu, Kwa kunipenda kwako, Napendezwa nikutumikie Maisha yangu yote. Usifiwe Bwana Yesu, Kwa ulivyonifia, Aleluya, nakushukuru, Uliyenikomboa. Msalaba ulishinda Nguvu zake adui, Ili mimi nikombolewe, Niwe mwana wa Mungu.nạdy yạsẖʿb In questo giorno celebriamo As ek U hemel aanskou Маяк в ночи كما انا Neklam seba! إنت اللحن اللي باغنيه Zostaň so mnou, Pane milý Аз съм веч блажен Vi er nu kjemper i Guds hær
Song not available - connect to internet to try again?