Mtazame Huyo! Aliyeangikwa Hivi sasa upate ishi. Mwenye dhambi dhaifu mtazame tu Wala usifanye tashwishi. Tazama! Tazama! Tazama uishi! Mtazame, Mtazame huyo aliyeangikwa juu Hivi sasa upate ishi. Kama mwana kondoo hakuondoa dhambi, Na makosa yako maovu! Kama deni zetu zote hakulipa Mbona imemwagika damu? Si kutubu na sala ikomboayo, Ila damu ndiyo salama; Na aliyeimwaga aweza, sasa, Dhambi zako kukufutia. Usiwe na shaka, Mungu amesema, Hakuna alilolisaza; Hapo alipokuja alitimiza Kazi zote alizoanza. Basi twae uzima, kwa kufurahi Upokee kwa Bwana, sasa; Ujijue hakika kwake kuishi Yesu aishiye kabisa.La Tua voce يا من احتويتني Келинг дўстлар, биродарлар Se pace qual fiume لمسته شفاء La tua grazia mi basta zy ṭyr fy ywm Господа хвалімо разом Pane, chcem byť dobrý kresťan
Song not available - connect to internet to try again?