Mungu msada wetu Tangu myaka yote, Ndiwe tumaini letu La zamani zote. Kivuli cha kiti chako Ndiyo ngome yetu. Watosha mkono wako Ni ulinzi wetu. Kwanza havijakuwako Nchi na milima, Ndiwe Mungu; chini yako Twakaa salama. Na myaka elfu ni kama Siku moja kwako; Utanilinda daima Tu wenyeji wako. Binadamu huondoka, Mwisho hana kitu; Kama ndoto hutoweka Ndivyo hali yetu. Ila wewe Mungu wetu Ndiwe wa kudumu; Ndiwe bora, ngome yetu Twakaa dawamu.fwq ạlṣlyb Affedildim Pane ctíme Ťa Göylərdən bu yerə Xoş Xəbər gəldi km ạ̉nt ʿẓym km ạ̉nt rḥym هايكون أسهل إن الجمل تتكلم بالأحلام Súıýdiń otymen jarqyraıyn Bonjour, bonjour
Song not available - connect to internet to try again?