Mungu ulisema, Giza ilikoma; Twakushukuru! Twakusihi sote, Duniani mote Na kwa watu wote, Iwe nuru. Yesu ulikuja, Ulituletea Nuru kuu; Macho kwa vipofu, Maisha kwa wafu; Twakushukuru. Roho kiongozi, Roho wa mapenzi Tia nuru; Mwovu hata sasa Watu huwatosa, Tunakwomba hasa, Iwe nuru. Mungu wa utatu Mwanga wao watu, Tuwe huru; Twende kote-kote Wafundishwe wote, Duniani mote, Iwe nuru.The Cloud Received Christ From Their Sight Grande e glorioso Signore Foana ny fasanao Rabni maqtanglar Juldyzdar túnde jarqyraıdy Run with the Message Нет больше утешенья أحبك ربي يسوع Вярно е Само бағрида порлаган юлдуздек
Song not available - connect to internet to try again?