Mwenye dhambi huna raha, Sikiza nakusihi, Utapata msamaha Kwake Yesu Mwokozi! Njoo hima, njoo hima, Naye atafurahi. Yesu anakwita sana Naye yuko Mbinguni; Hofu ya kifo hapana Kwake ukiamini. Njoo hima, njoo hima, Utapata amani. Hatakwita siku zote; Ni ya sasa nafasi. Lete na uchafu wote, Kukawa haipasi. Njoo hima, njoo hima, Ni wokovu halisi. Uzima uko kwa Bwana Twae uzima hasa Bure unapatikana, Wokovu twae sasa! Njoo hima, njoo hima, Twae utakatifu.НЕКА ДА ПРАЗНУВАМЕ Beni Sakla Kutsallığında تەڭىر، مەن جاقىنداپ ساعا كەلەم Навсегда lạnẗ kmạ Királyok Будь благословен قصاقيص من لي سواك يحميني Keshke úıge kelgende
Song not available - connect to internet to try again?