Tangu siku hiyo aliponijia, Akae moyoni mwangu, Sina giza tena, ila mwanga pia Kwa Yesu mwokozi wangu. Amani moyoni mwangu, kwa Yesu, Mwokozi wangu; Sina shaka kamwe, Kwa sababu yeye, Yu nami moyoni mwangu. Sina haja tena, ya kutanga-tanga, Ndiye kiongozi wangu. Dhambi zangu zote zimeondolewa, Na Yesu, Mwanawe Mungu. Matumaini yangu ni ya hakika, Katika Mwokozi wangu. Hofu zangu na hamu zimeondoka, kwa kuwa ninaye Yesu. Siogopi tena, nikiitwa kufa, Yu nami daima, Yesu. Mlango wa Mbinguni ni yeye pia, 'Tapita humo kwa damu.' Nitaketi na yeye huko milele, Nisifu Mwokozi wangu. Nina raha moyoni majira yote, Kwa Yesu, Mwanawe Mungu.ALL TO JESUS I SURRENDER تفك الأسر وتشفى النفس باعترف قدامك فضايل Damu Imebubujika 耶稣爱我 nǐ zì jǐ de pú táo yuán yǒu méi yǒu kàn shǒu wyạk btzwl hmwm Еј евимə ҝəлəн гонаг O Sungai Rahmat
Song not available - connect to internet to try again?