Naendea Msalaba, Ni mnyonge na mpofu, Yapitayo naacha, Nipone Msalabani. Nakutumaini tu, Ewe Mwana wa Mungu; Nainamia kwako; Niponye, mponya wangu. Nakulilia sana: Nalemewa na dhambi; Pole Yesu asema; 'Nitazifuta zote'. Natoa vyote kwako, Nafasi nazo nguvu, Roho yangu na mwili, Viwe vyako milele. Kwa damu yake sasa, Nimegeuka roho, Nikaziacha tama Nimfuate Yesu tu. Yesu yuaja tena! Nimepevuka kwake, Kila chembe kamili; Msifuni yeye mponya!Uitstap: Daarom Стою lḥẓẗ mạ ạsẖtkyt Just beyond the Veil Нет, не виновен Ты هَر تۇ پیروز ي yạ mṭwb Из глубины Jesus, We Celebrate Your Victory ḥby ạ̹lyk
Song not available - connect to internet to try again?