Namwndama Bwana kwa alilonena Njia yangu huning'azia; Nikimridhisha atanidumisha Taamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ni hii Ya furaha kwa Yesu: amini ukatii. Giza sina kwangu wala hata wingu Yeye mara huviondoa Woga, wasiwasi, sononeko, basi; Huamini nitii pia. Masumbuko yote, sikitiko lote; Kwa mapenzi hunilipia; Baa, dhara, dhiki, vivyo hubariki Taamini nitii pia. Mimi sitajua raha sawasawa Ila yote Yesu kumpa; Napata fadhili na radhi kamili, Taamini nitii pia. Nitamfurahia na kumtumaini, Majumbani na njia-njia; Agizo natenda, nikitumwa hwenda, Huamini nitii pia.من بين ضيقاتي يا ربى إنت نورى wǒ men huì jì xù yán zhe zhè tiáo lù Би хэн бэ? بعد ما كنت عبد МОЯ БОГ ЩЕ ПРИЗОВА La terza generazione ياللي أمامك حياتى Спасибо Иисус Chvalte Hospodina z nebes
Song not available - connect to internet to try again?