Nasikia kwitwa Na sauti yako Nikasafiwe kwa damu Ya kwangikwa kwako. Nimesogea Mtini pako, Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako. Ni mnuonge kweli, Umenipa nguvu, Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu. Yesu hunijuvya; Mapenzi, imani; Tumai, amani, radhi, Hapa na Mbinguni. Huipa imara, Kazi yake, ndani: Huongezeka neema, Ashindwe Shetani. Huishuhudia, Myoyo ya imani Ya kuzipata ahadi, Wakimuamini. Napata wokovu, Wema na neema; kwako Bwana nina nguvu Na haki daima.Черты отличия Hallelujah Chorus - Handel Kanınla Aklandım Ben Nie lękaj się nie, Za ciebie Pan zmarł ạ̹dyny ạ̉mạnẗ Eki myń jyl ótip ketti aradan ḥdtẖwny ʿn yswʿ 每天早晨都是新的 تعا واطلع فيي Йюкселтириз
Song not available - connect to internet to try again?