Nataka nimjue Yesu, Na nizidi kumfahamu, Nijue pendo lake, na Wokovu wake kamili. Zaidi, zaidi, Nimfahamu Yesu, Nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Nataka nione Yesu, Na nizidi kusikia, Anenapo kitabuni, Kujidhihirisha kwangu. Nataka nifahamu, na Nizidi kupambanua Mapenzi yake, nifanye Yale yanayompendeza. Nataka nikae naye, Kwa mazungumzo zaidi, Nizidi kuwaonyesha Wengine wokovu wake.Аз тук работя за Христа Prendimi riempimi Сага барам Господь мой Назорей Spirito Santo من يسمع صرخة القلب Яратувчи Wysłuchajcie mego głosu shén shì hù wèi gān wèi zhōng guó dǎo gào
Song not available - connect to internet to try again?