Ndiyo dhamana, Yesu wangu; Hunipa furaha za Mbingu; Mrithi wa wokovu wake Nimezawa kwa Roho yake. Habari njema, raha yangu Yesu ndiye Mwokozi wangu, Habari njema, raha yangu Yesu ndiye mwokozi wangu. Kumsalimu moyo wangu, Mara namwona raha yangu; Aniletea malaika, Wananilinda, taokoka. Sina Kinyume, nashukuru, Mchana kutwa huja kwangu; Usiku kucha kuna nuru; Mwokozi wangu; ndimi huru. Hali na mali anitwaa! Mara namwona anifaa, Nami nangoja kwa subira; Akiniita, nije mara.Tu vivi in me Prego Te Voglio volare fạdy̱ ạlwry̱ ydʿwk ʿạyzyn yạ rb Amazing Grace fàng xià nǐ de qí zhì Nous sommes dans la joie O Jésus, tu nous appelles 衷心祝福
Song not available - connect to internet to try again?