Ndugu wa kirohoni Mliokombolewa, Tafakarini sana Yatupasayo. Wapenzi wake Yesu Tuliokombolewa Tujitoe kabisa Wengi waponywe. Siku itatimia Tutakapoulizwa Wale wa nyumba zetu Na majirani Tujitoeni, ndugu, Tukahubiri Injili. Atutumie Roho kuponya wengi. Wasiokombolewa Ni wengi vijijini, Wataokolewaje Tukiogopa? Bwana alijitoa Akapotewa mengi, Ili atuokoe, Tusiwe waoga. Aliyetununua, Kwa kuimwaga damu, Angalieni sana Msimwepuke.bḥb mṣr wbṣly̱ Powiedz mi wieść prastarą 永永远远这里是春天 يا ابو قلب طيب La Tua gloria İsa, Göğsün Altın Kuşakla Kuşanmış Эп берабер Оны юксельтейик 哭过笑过唱过沉默过 نعلى مجدك Лучше уповать на Господа
Song not available - connect to internet to try again?