Ni Mfalme wa mapenzi Ndiye anichungaye, Sipungukiwi, hawezi. Kunipoteza yeye. Kando ya mji mazima Yeye huniongoza Katika malisho mema Daima hunilaza. Mara nyingi hupotea Kwa ukaidi wangu, Naye huniandamia, Hunirudisha kwangu. Uvulini mwa mauti, Siachi hatari kamwe, Wewe Bwana huniachi, Mwokozi wangu wewe. Waniandikia meza Neema kwako tele. Kwa wewe, yote naweza. Na msalaba mbele. Kamwe hautapungua Uule wema wako; Mwisho, atanichukua, Juu, niimbe kwako.ạlsạmryẗ Миний сүнс ээ Яавэг أعلنت لي عن حبك Իմ սրտում Քո խոսքը Digno es el Señor أنا بأشكرك tmr ạlsnyn Rəbdir qalam, Rəbdir qayam علمني أن أثق بك yạ yswʿ yạ ḥbyb ạlqlb
Song not available - connect to internet to try again?