Ni 'Mtu wa Simanzi', Mwana wa mwenye enzi Mwenye mengi mapenzi! Asifiwe Bwana Yesu! Akawa matesoni, 'Mungu mwana yakini Akatoka Mbinguni: Asifiwe Bwana Yesu! Akapata dhihaka, Mzoea - mashaka Ndiye yetu sadaka: Asifiwe Bwana Yesu! Tu wenye dhambi sana; Kwake dhambi hamna, Na Mungu twapatana: Asifiwe Bwana Yesu! Alikufa mtini, Akalia dhikini, Sasa yuko Mbinguni: Asifiwe Bwana Yesu! Punde atarejea, Yesu kutunyakua, Ndipo tutamwimbia: Asifiwe Bwana Yesu!ạ̉frḥ fy kl ḥyn Acclamiamo Бути почутими De la staul la Golgota Притчи ạ̉nạ mḥtạj ḥḍnk yạrby Bližšie tiahni ma Because of Christ زيدوا المسيح تسبيح Мир в неправде
Song not available - connect to internet to try again?