Nionapo amani kama shwari, Ama nionapo shida; Kwa mambo yote umenijulisha, Ni salama rohoni mwangu. Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa shetani atanitesa, Nitajipa moyo kwani Kristo ameona unyonge wangu, Amekufa kwa roho yangu. Dhambi zangu zote, wala si nusu, Zimewekwa msalabani; Wala sichukui laana yake, Ni salama rohoni mwangu. Ee Bwana himiza siku ya kuja, Panda itakapolia; Utakaposhuka sitaogopa Ni salama rohoni mwangu.Почти убедился я в Божьих словах Голгофа Privítajme Pána Взлететь Jakiż to przyjaciel Hoy te rindo mi ser Tu dulce amor myn yḥyy ạlʿẓạm Аллаһ сəни јарадан, сəн ач Она өз үрəјини ràng nǐ qù dào nà biān
Song not available - connect to internet to try again?