Ni tabibu wa karibu; Tabibu wa ajabu; Na rehema za daima; Ni dawa yake njema. Imbeni, malaika, Sifa za Yesu Bwana; Pweke limetukuka Jina lake Yesu. Hatufai kuwa hai, Wala hatutumai, Ila kweli yeye ndiye Atupumzishaye. Dhambi pia na hatia Ametuchukulia; Twendeni na amani Hata kwake Mbinguni. Huliona tamu jina La Yesu Kristo Bwana, Yuna sifa mwenye kufa Asishindwe na kufa. Kila mume asimame, Sifa zake zivume; Wanawake na washike Kusifu jina lake. Na vijana wote tena, Wampendao sana Waje kwake wawe wake Kwa utumishi wake.Foreverandever Etc.. Adı'nı Övmeyi Severim Revelacion Santo Santo Santo Сила Аё Раббим Сени йўқлаб jzʾ 4 qlby byk frḥạn Как часто говорим Cantiamo con gioia Ben Zayıfken Sen Gücümsün
Song not available - connect to internet to try again?