Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! wa maisha ya daima, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. Tazama, ishi sasa! Kumtazama Yesu, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama. Ni ujumbe wa wema, Aleluya! Nawe shika, rafiki yangu! Ni habari ya raha Aleluya! Mwenye kuinena ni Mungu. Uzima wa daima,Aleluya ! Kwake Yesu utauona. ukimtazama tu, Aleluya! Wokovu u pweke kwa Bwana.我虽遭遇患难愁苦 УЗУН ОРУК Та өгсөн Jesus gotta hold of my life Мечта Роди се в Витлеем дете Yaşam Önderi ymknny ạ̉n ạ̉zʿl Ажойиб ажойиб อัศจรรย์อัศจรรย์
Song not available - connect to internet to try again?