Nitaimba ya Yesu, Kwa rehema zake, Baraka nyingi sana Nimepata kwake; Nitaimba ya Yesu, Sadaka ya Mungu, Alimwaga damu Ukombozi wangu. Nitaimba ya Yesu Hapa siku zote, Nitakapokumbuka Vyema vyake vyote; Nitaimba ya Yesu Hata mashakani, Yeye atanilinda Mwake ubavuni. Nitaimba ya Yesu Niwapo Njiani; Takaza Mwendo, hata Nifike Mbinguni; Nikiisha ingia Mlangoni mle, Yesu nitamwimbia Mbinguni milele.Water To Wine lyʿrf ạsmk سألت عليك Тэр өдөр Высока Госпад Тахтънда Отурана Ве Кузу'я EBENEZER Shi Wanda Zai Daure da Duk Wahalai تراك 13 Gücü Her Şeye Yeten Rab Tanrı
Song not available - connect to internet to try again?