Nitwae hivi nilivyo, Umemwaga damu yako, Nawe ulivyoniita, Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo;si langu Kujiosha roho yangu; Nisamehe dhambi zangu, Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo; sioni Kamwe furaha moyoni; Daima ni mashakani, Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo kipofu, maskini na mpungufu; Wewe u mtimilifu; Bwana Yesu,naja,naja. Nawe hivi utanitwaa; Nisithubutu kukawa, Na wewe hutanikataa, Bwana Yesu,naja,naja. Hivi nilivyo;mapenzi Yamenipa njia wazi; Hali na mali sisazi, Bwana Yesu,naja,naja.I Will Celebrate Осмонда Фаришталар Куйлар Gökdäki Atamyz Až potiaľ pomáha Hospodin bremeno niesť Days of Elijah Svou lásku ti dávám Кім жаратты Бу Бир Муджизе hwdẖạ kmạ ạ̹n إحنا جنود
Song not available - connect to internet to try again?