Njoni!Njoni!Wenye dhambi, Njoni, msikawie; Yesu anawangojea ndiye awapendaye; Ajuaye awezaye kuwaponya ni Yeye. Ajuaye awezaye kuwaponya ni Yeye. Ewe muhitaji uje; Anakukaribisha, Imani, kweli, na toba, Neema ya kutosha, Jua sana, kwake Bwana Bure utapata. Njoni, mliolemewa Na dhambi ya Adamu; Mkingoja kujiponya Mtapotea mumu; Si wa haki, ni wakosa Waoshwao kwa damu. Ikamtokea dhiki, Mle Gethisemani; Kisha alipoangikwa Akalia mtini; ' Imekwisha', alitosha Dhabihu ya thamani. Kristo aliye Mbinguni Hutuombea huko; Basi mtumai yeye; Kamwe mwingine hako Yesu pweke, Yesu pweke, Ndiye Mwokozi wako. Wamsifu-sifu sana Mbinguni malaika; Wachanganya nyimbo zao Na waliookoka: Aleluya wataimba Waliooshwa taka.Няма да се боиш Uomo moderno أنا واحد على قدي lmạ bạrtl Верим мы radosť Béni soit le nom Ry Tompo o, ny tany maina يا رافعًا Pioggia di primavera
Song not available - connect to internet to try again?