Peleleza ndani yangu, Iwe safi nia, Kwangu kama kwako Mungu, Idhihiri pia. Peleleza moyo wangu Uunifunulie, Yaliyomo ndani yangu Nami niyajue. Kwanza washe zako tambi, Kumefunga giza; Nijue ambavyo dhambi Ni la kuchukiza. Peleleza na mawazo Ni mbegu za mambo, Asili ya machukizo, Maumbuo - umbo. Zidi kuyapeleleza Katikati yangu Hata wishe nifundisha Udhaifu wangu. Hapo nikikwinamia Mbele zako, Mungu, Hakika nitakujua U mpenzi wangu.sdyt ạlsẖbạbyk yswʿ ạ̉nt trnymty Per il mio Spirito Мен мында mạ ạ̉bhj 今夜星光灿烂 zhǔ juàn gù nǐ wǒ Abito sporco ʿạrf ạ̹nk mtḥmlny Jak dobrze być razem
Song not available - connect to internet to try again?