Piga sana vita vyema Kwa ushujaa daima, Yesu ndiye nguvu zako, Yesu ndiye kweli yako. Kaza mwendo, ushindane Angaza macho, umwone Yesu ndiye njia yako, Naye ndiye tuzo lako. Tupa kizito, simama, Tazama mbele, si nyuma; Ni yeye uzima wako, Naye ni kipendo chako. Tangamka, uamini Akushika mikononi Hageuki, akupenda, Kuwa naye una pia.Pane chválím jméno Tvé В ХРИСТОС Allah Dimuliakanlah Lord Your goodness Агар Исо - Эй Худо! zhǔ de ēn diǎn zú gòu wǒ yòng Il fiume che guarisce وسط ظروف البلد - SPECIAL - Гел Рухунла Бана
Song not available - connect to internet to try again?