Roho yangu hima, na taa yako Kaiwashe vyema, hapa si pako; Nguvu zote pia za duniani Hazitakudhuru ukiamini. Yesu yuko mbele, Yesu yu nyuma, Yesu vivyo kando, walindwa vyema. Adui shetani, na nguvu zake, Bwana ameshinda, kwa kifo chake; Wewe nguvu huna, huna kabisa, Ndiwe mpungufu, mnyonge hasa. Toka na mapema, mbele ya wote, Omba, bisha sana, maisha yote; Vita vikaliko, macho ukae, Jivike silaha, nawe sishindwe. Bwana Yesu ndiye kwako mchunga, Neno lake Bwana ndilo upanga; Mbingu zitakwisha, na nchi pia, Neno lake Bwana laendelea.Już się nie bój dłużej Буду с тобою قصة الحب العجيب Թող Հոգիդ Իջնի,Տեր Кто бы дал мне слезы сокрушенья Хайди Херкес Динлесин! yswʿ ạ̉nt knzy ạlʿẓym Ry fanahy ory Un grido ʿnd ạlṣlyb qạblt
Song not available - connect to internet to try again?